uscuta

uscuta

Our Music online

torsdag 20 augusti 2009

MY CLYDESIDE VALENTINE


Wasanii wa maigizo kutoka Glasco Scotland wakiiwa na waigizaji kutoka pamoja Örebro.

Wasanii hao walikutana kwa mda wa wiki moja na kuweza kufanya zoezi kwa ajili ya onysho ambalo lilifana sana.Onyesho lilihusisha lugha mbili tofauti kwa wakati mmoja Kiswed na Kiingereza cha bibi yaani kiscotish :)

Kwa kuangalia zaidi bofya hapa
http://www.youtube.com/watch?v=88c5wAayAhM
Inga kommentarer:

Skicka en kommentar