uscuta

uscuta

Our Music online

tisdag 25 augusti 2009

TONCH VIDEO WATOA VIDEO MPYA

Kikundi cha mziki wa african hiphop kwa jina tonch style kimetengeneza video mpya ambayo iponjiani kurushwa hewani.
Video hiyo itakuwa na mazingira ya sehemu mbalimbali kandokando ya mto mkubwa.
Msikose kutazama matukio mbalimbali ya kuvutia yaliyomo kwa video hiyo :)

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar