uscuta

uscuta

Our Music online

torsdag 17 september 2009

KITABU KHUSU ALBINO

Tarehe 14/8 nilitembelea Stockholm kwenye maonyeso ambayo yanapicha nzuri zinazoonyesha maisha ya ndugu zetu wenye upungufu wa kinga ya ngozii (albino).
Kwa kuangalia picha zaidi ingia hapa http://www.johanbavman.se/albiner/albino.html

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar