uscuta

uscuta

Our Music online

måndag 29 november 2010

Kumekuwa na snow nyingi katika nchi za ulaya ya kaskazini.Snow huwa tatizo wakati fulani na huwa ni kivutio wakati fulani.Kumekuwa na michezo mingi kipindi cha snow inayojulikana michezo ya kipindi cha baridi.Michezo hii huwa maranyningi kwenye sehemu ya milima ingawa milima hiyo si mirefu.
Milma mkubwa huweza kuwa m 2000 tu.

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar