Wakushi ni jamii ya Kiafrika ambayo iliishi kandkando ya mto nile kwenye nchi ya Sudani karibu na Misri.
Jamii ya Wakushi ilifanya sananmu nyingi pamoja na ubunifu wa makaburi na nyumba za kale kama vile piramid.
Jamii hii ilikuwa na nguvu sana katika maendeleo ya kisayansi ya wakati ule.Watu wengi walipenda kwenda maeneo yale ili kuona busarra iliyokuwa inafanyika kule.
Mafarao wa Misri walichukuwa baadhi ya ujuzi kutoka kwa jamii hii na kuendaleza Taifa la Misri.
Kwenye jamii hii ndipo kulikuwa na kabila la Wanubi.

Kommentarer

Populära inlägg