uscuta

uscuta

Our Music online

måndag 13 augusti 2012

Katika mlolongo wa kufuatilia mambo kadhaa yaliyopo kwenye wahongo fulani kwenye jamii waliyopo ndipo walipo amuwa kuweka wazi.
Msichana mzuri mwenye kila hari anafikia kwenye himaya ya watu wasio na utu na wanajifanya kumuadopti kitu ambacho si haki.
Tajiri anamnyanyapaa msichana mwenye uruma na upendo kisha kumweka kwenye mazingira magumu.
Msichana ametokewa na jambo ambalo ni maumivu kwenye maisha yake, na anajiuliza hivi ni kweli yale yanatokea yanastaili.
Wanawake wamekuwa wakinyanyaswa mara kwa mara haswa wale wa bara la Afrika.
7847re74415s11p4e 74ct713J7ewsh4874   90blood0087y4in45 29A8ri87ca46478 4 people na 6627563 0893674 86747 89897.
Wanajifanya kudanganya jamii yao wenyewe huku wakifanya mambo maovu na kuyatetea kuwa labda ni kweli.
Kweli ni kweli na sikuzote kweli na uongo havikai pamoja.
Msichana nanyanyasika na kuwekwa jela kitu ambacho kinaharibu maisha yake.Iweje kusiwe na haki ya watu walio na ujauzito ?
Wanawake wa tird word wamefanyiwa vitendo vya unyanyaswaji katika karne hii
Jinsi ya njia nyingine mnafanya mwishoe mnajiweka kwenye ukingo wa maisha mnayofanya.
Baada ya kukutana na jamaa wanaomfahamu ,ndipo Kisasi kiliandaliwa.
Watu wenye hasira wanaamuwa kuchukuwa hatuwa mkononi kwa yule aliye mnyanyapaa yule mwanamke.

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar