uscuta

uscuta

Our Music online

fredag 3 augusti 2012

MCHEZO WA KUVUTA KAMBA.


 Migogoro mingi inayomgusa mwanadamu hupanga yeye mwenyewe.
Fikiria kama unavuta kamba bila ya mpinzani, je kuna ushindani wowote utajitokeza?
Binadamu amejijenga kwenye mfuno wa upinzani na hili limekuwa tatizo kubwa kwa nyakati zijazo.
Tumepanga mashambulizi yasiyo na mwelekeo.
Kila mwanadamu Duniani ni bora.Hakuna aliye zaidi ya mwenzake................................................
...............................................................................
Nauthibitisho wa kisayansi kwamba wanadamu wote ni sawa .
Mfano,
Tukichukuwa mwanadamu A
                 na mwanadamu  B
Tufanye mwanadamu A anauwezo na anajulikana kuliko mwanadamu B
Tukiwaweka kwenye huduma ya aina moja utaona kuwa kuna vitu ambavyo Binadamu A anapitwa na binadamu B
Kunavitu vingi binadamu A anatakiwa kujifunza kwa binadamu B................................hivyo hivyo binadamu B anavitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa binadamu A...................................................

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar