uscuta

uscuta

Our Music online

måndag 6 augusti 2012

Ukweli wenyewe

we living in seasons.
Everybody have its own time,
to live another one life is to put your self in to mental slave.
Kuna watu wapo kwa ajili ya kuangalia na kukalili maisha ya wenzao.
Kwenye hii dunia kila mtu ana uwezo wake binafsi na kila mtu anaweza pale anapojuwa ukweli.
Kumekuwa na baadhi ya watu wanaishi kwa kuangalia ni vipi wenzao wanafanya ili na wao waweze kukariri na kufanya kwenye maisha yao.
Mtu mwenye siri ya kitu huweza kukifanya zaidi ya yule anaye kifuatilia.Kufuatilia maisha ya wengine ni kujiweka kwenye utumwa .
Watu wa magharibi wamekuwa wakichukuwa mawazo ya watu wa Afrika na kujaribu kuyatumia kwenye maisha yao huku wakifuta ukweli kwamba wametoa wapi.
Hii imejenga mfumo ambao kwa siku za mbeleni unaonyesha kwamba hawawezi kuishi na kujisikia kwamba wao ndio wamefanya kile wanachotaka kujivunia.
Ushindani umeendela kila siku haswa kwa wale ambao hawaangalii faida za siku zijazo.
Binadamu tumeishi kwa kusameheana kila mara ingawa tunaona matatizo yanaletwa na watu ambao tunawasamehee baada ya kipindi fulani.
Kila mwanadamu anauwezo wake akiwa makini na kile anachokifanya.Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini imekuwa vigumu kwa watu kuvumbua ukweli wa kila wanachofanya na badala yake hujaribu kuigiza vya wengine.
Maisha yanamipaka kwa kila mwanadamu.Hii ndiyo imefanya watu wa Ulaya wanashindwa kuishi Afrika kama nyumbani.Tatizo ni kwamba kumekuwa hakuna heshima baina ya watu hawa wawili.
Mwanadamu anayejuwa mipaka huwa bora kwa kila jambo analofanya.Heshma ya mwanadamu ipo katika nyanja zote ,za kimwili na za kiroho.
Inaendele
Na
Mmbando Kennedy

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar