uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 24 april 2013

Uamuzi wa uongo.


UAMUZI WA WAONGO.
Kulazimisha kuelewa kipaji cha mwingine ni Ushetani lol.
Tunafanya sanaa kwani ni maisha Yetu ,Kuna wanaojaribu kuinuwa wasio wasanii Kuwa wasanii.
Sanaa ya kweli inaogopesha viumbe wasioishi kwenye maisha ya ukweli.
Eti mtu anafanya mazoezi kuwa J Biber :)
Maisha ya mtu yalisha pangwa.Msanii hufanya sanaa kwa ajali yake mwenyewe,hii hufirahisha Malaika,na Mwenyezi Mungu,Jahova,na mazingira yote kwa ujumla.
Mwamuzi wa sanaa ni msanii mwenyewe .
kuna wanaoshabikia vitu vyenye idadi nyingi kwenye mitandao na kuviita ni sanaa?
Huo imepelekea watu wengi barani Afrika wasiishi maisha kwenye Ardhi yao nzuri waliopewa na mwenyezi Mungu.
Kuweka Dunia nje ya Haki ni Ushetani .
Mtoto wa shetani anaishi Duniani,Akiwa na Kwato na urembo wa paja.
Amka amka usije Nichukia Bure
Kupenda sana maisha ya Dunia ni moja ya mtego wa Ushetani .
Tunaamini Mungu tunaamini kunamaisha bora zaidi ya haya ya Duniani.
WE ARE ARTST FROM KINGS,TELL ME WHO YOU ARE?

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar