uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 13 november 2013

Mmbando Kennedy c

HAIITAJI MAPAMBO

Katika mtokezo pembezoni ya maji ,mashariki ya mbali,aliyofanya maovu wata100 kutokana na mambambano wanayorekodi si waliyoona ,Lazima mjifunze na kutambuwa,anayependa sana maisha anatengana na roho.
Umefika wakati,hakika watagawanyika kama mchanga wa bahari inaohitaji udongo.
Hakuna mmoja wao anayeweza kuzuia mda walioupanga wenyewe.

Mwongo anaona aibu mbele ya Macho yangu na Macho yako.Wamesema wengi iliyobaki ni kusikiliza ,mwelevu husikia,Hakuna Nguvu kubwa,Hakuna lisilo wezekana.

Wanaofundishwa sanaa za kishetani wakaonyeshe kuzimu.
Wameharibu mfumo mzima wa biashara ya kweli na kukweza ya uongo.

Tunajuwa jiji Alexzandra lipo chini ya maji.Tunajuwa 2014 ni wakati mgumu kwao,watajitahidi kwa kila hali hawatalala.
Tutachofanya ni kusafisha,kupangusa.

Watatembea vichwa chini miguu juu,wataombea waimbe wimbo wasioujuwa.
Kunamtu aliniuliza ,hivi ni kweli na kwa nini iwe,Itakuwa hivyo.'alisema _^_#u '

Kwa wanaoelewa na waelewe,wasiojuwah na wajuweh,si wakati wa komed.Nzeto la kweli wapi IBK ? Simama imara maramojah ujinga wa aliyejiweka pasipo na kuchukua visivyoonekana.


Wanawaweka kwenye maguniah,Tembo wanalia labda jawabu kwa anayefikiria ya hii dunia.
Wakirudi wote kwenye hii dunia utakuwa na kukimbilia?

Sitaki usome maandishi yangu najuwa roho inakusuta.Sitaki ujuwe dhamira yako gadhlisha.
Imefikia wakati utawaona,wanakuja wanakula na wanakula.
Utaombea na utasema ningejuwah,anayeweza kurudisha saa amewadiah.
Jenga bomowa ndiyo mchezo wenu.Kujenga kwa taabu kubomowah haraka.Mjuzi hujenga haraka na kubomowah kwa taaabu.
inaendeleah ...........

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar