Crown Princess Victoria and the Minister for Trade, Ewa Björling make a joint promotion trip to Ghana and Tanzania .2014

Hej prinsessan Victoria, välkommen till Tanzania är fantastiska land.Vi är snäll och hitta mani skor som vi skulle bygga mer utan att skada environment.We har kunskapen och vi har vänner över helahela varlden  .
Människor vill hjälpa oss, så att vi kan bekämpa fattigdom.

Binti wa mfalme wa Sweden prinses Viktoria akiwa na raisi wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete.
Mfalme wa Sweden ana watoto watatu , mmoja ni wakiume na wawili ni wa kike.
Viktoria amezaliwa mwaka tarehe 14 mwezi wa mwezi wa saba mwaka 1977 .
Ana mtoto mmoja wa kike malkia  Estelle .
Jina kamili la baba yake Viktoria ni Carl XVI Gustaf.
Jina kamili la mama yake ni Silvia.
Mwaka 1979 alizaliwa kaka yake ambaye ni  kronprins Carl Philip.
Mwaka 1982 alizaliwa dada yake ambaye ni  prinsessan Madeleine.
Madeleine amesomea somo la sanaa pia ikiwemo sanaa hii http://sv.wikipedia.org/wiki/Konstvetenskap .
 

 

Pendekezo langu kwa Serikali .
Tunatarajia kuwa serikali itatambuwa umuhimu wa sanaa na tutaweza kutambulisha na kuendesha sanaa yetu kwa haki .Tuweze kusaidia watoto wenye vipaji kutoka familia mbalimbali .
Kumekuwa na  kutokueleweka kwa jinsi sanaa yetu inavyoendeshwa huku tukiwa na wasomi mbalimbali ya tasnia hiyo .
Sanaa ya Tanzania imetumika kama kiburudisho tu na si kitu cha umuhimu.
Nimechunguza na kuelewa asilimia kubwa ya pato la sanaa .
Msanii ni mtu anayejiajiri mwenyewe kwa kujengewa mazingira bora na serikali ambayo yatafuata taratibu zinazoeleweka na jamii husika.Serikali ina kazi ya kulinda na kutangaza kazi za wasanii kimataifa.
Serikali inakazi ya kuelewa sanaa ya nchi nyingine na ya nchi yake zina uhusiano gani na kisha kuweza kutoa fursa kwa wasanii wake kujitangaza na kushiriki katika matukio mbali mbali ya sanaa duniani kote.
Kuna nafasi mbali mbali za wasanii kuingiza kipato kikubwa na kuweza kulipa ushuru kwa nchi yao.
Serikali itatumia Ushuru wa wasnii kujenga miundo mbinu bora ya kazi za sanaa kwa ushindani wa kimataifa.
Watanzania wengi hawajapata nafasi ya kujuwa ni nini kitaitwa sanaa na ni nini hakiwezi kuitwa sanaa.
Kumekuwa na uharibifu wa mazingira kwa kutokujuwa ni jinsi gani ya kutumia malighafi ya Taifa ili kujiendeleza na kupatia taifa letu maendeleo makubwa.
Akhsante by  Konstnär  Mmbando Kennedy JF
 

Kommentarer

Populära inlägg