uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 16 april 2014

UNITE


Nimetengeneza picha inzyoonyesha jins muungano wa Afrika na watu wanaopenda kuona maendeleo ya Afrika ulivyokuwa na kuna wanaopinga kutoka pande zote mbili.
Kuna umuhimu wa kujifunza jinsi na maana ya nchi zilizokuwa karibu kuungana.
Watu wengi wamekuwa wakiharibu muungano wa nchi mbalimbali na kuziacha zikigombania maeneo na madaraka.
Bless Ethiopia
Bob Malrey told Afrikans without themself to know the reality.
 

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar