uscuta

uscuta

Our Music online

torsdag 23 juni 2016

Congratulations !

Congratulations ni mziki wa kiswahil ulio kwenye ubunifu wa hali ya juu sana kwenye mlengo wa kutengezeza nyimbo za kiswahil zenye kufikirika kwa hali ya juu sana .

Nyimbo ina msingi wa vionjo vya reggae ila kuna ngoma za tumba ,marimba na tarumbeta kwa mbali .Pia sauti zake zipo kwenye makundi makuu matatu.

Kuna sauti zinazosikika kwa mbali sana na za kati na za juu.

Lengo kuu katika kutengeneza mziki huu ni kuanza kuingia kiundandani zaidi na kuhifadhi nyimbo za kiswahil kwenye mfumo wa digital.

Kuna nyimbo nyingi za Bongo flava ila hizi nyimbo za sasa ni za Kitonchi Style ni style iliyo anzishwa na Seven pamoja na Mmbando Kennedy.

Kuna nyimbo nyingi pamoja na Rap ambazo zimetengenezwa kwa style hii .

Tunafuraha kubwa kuona kwamba umesikiliza na kusambaza kazi hii kwa wadau wengine wa sanaa .

Shukrani na Tupo pamoja .

Umoja ni nguvu

Mungu Ibariki Tanzania !

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar