uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 23 november 2016

Onyesho la sanaa la kutangaza utamaduni na Utalii wa Tanzania lafana Sweden
Kazi na muziki na Snap chat za kumwaga


Msanii Kennedy akisikiliza mawazo ya mmoja wa  mteja wake wa sanaa

Moja ya Eneo la Maonyesho ya michoro ya Tembo
Baadhi ya wateja kabla ya Onyesho kuanza


Msanii Kennedy kutoka Tanzania akiwa na wateja walionunuwa Painting 


Ayesha na Marlenne wakiwa kwenye pozi
Inga kommentarer:

Skicka en kommentar