uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 28 december 2016

Mchoro wa Kennedy Mmbando art ukiendelea katika moja ya stoduio anazofanyia kazi nchini Sweden.
Kennedy ni msanii wa Kitanzania ambaye anafanya kazi zake ktk nchi ya ugenini huku sanaa zake zikiwakosha wengi kwa jinsi anavyozingatia na kuendeleza utamaduni na asili yake huku akiwa anapeleka ushindani mkubwa kwenye sanaa ya nchi za magharibi.
Moja ya michoro ya kennedy iliyofyatua na kuwatisha watu wamagharibi ni Qubic ambayo imezalisha hisia za Three D
Hivi sasa Kennedy anashughulika na kukuza kampuni yake ya sanaa ili kufikia kuwa mmoja ya wasanii waliopata mafanikio ki sanaa na kiuchumi na mageuzi ya mfumo wa Dunia inavyokwenda.

Tafadhali fungua hi blog ili kupata kile kinachoendelea kuhusu msanii na sanaa zake!
Ukipata ujumbe huu share na wengine kwa pamoja mtasaidia kufanya mabadiliko ktk sanaa.

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar