uscuta

uscuta

Our Music online

tisdag 25 april 2017

Unapokutana na mazingira tofauti kama siku zaq kiangazi ,kipupwe na masika .
Kinachohitajika na kujipanga na kuona maono ambayo ni njia pekee itakayoweza kufanikisha kile kinachokuja mbele.Maisha ni mtekelezo wa yale ambayo unayaona kabla na unadhania yanatokea.
Ukiangalia picha hii huwezi kugunduwa kwa urahisi mpaka umuulize msanii mwenyewe kama ni maudhui gani yanaweza kuwa yamehusiana na huu mchoro.
Kwa wenzetu nchi zenye baridi wamekuwa wanajali sana kujua kila hali ya koto au baridi inayotokea kila siku kwa lengo la kuweza kujiandaa kwa mavazi ya kujisitiri kabla hawajaenda nje kuwajibika na shughuli zao za kila siku.
Hivyo hivyo ukielewa maudhui ya hii kazi utagunduwa mambo mengi na kuheshimu uwezo na ubunifu uliotumika kwenye kazi hii.

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar