Inlägg

Visar inlägg från september, 2014

Furaha dance.

Bild
Bild

Mmbando Kennedy Drawings

Bild
Bild

Yenyewe

Jinsi ya vipengele vya aina mbalimbali vya jinsi ya ufuatiliaji wa hisia binafis na jinsi ya kuongoza nafsi katika maamuzi ya mambombalimbali ya uamuzi wa ni nini bora au ni kitu gani cha umuhimu kufuatilia. Kuna watu wengi wanaamuwa kufanya mambo ya wenzao kwa kufuatilia au kuona ni aibu kutojuwa vau kufanya vitu ambavyo watu wengine wanafanya. Si kila jambo ni jima kwa mtazamo na maamuzi ya wengine bali inategemea na watu na eneo la watu walipo na jinsi wanavyo zania kuwa ni muhimu kwa kipindi hicho. Kuna mvurugano wa mawazo wa mtu kwenye jamii ya mtu na vitu kwenye jamii ya vitu au vipengele vya wao kama wao wanavyodhania wao ili kufanya iwe vivyo wanavyo fanya hicho kwa mtazamo sivyo. Waweza kufanya maamuzi au kuhukumu uamuzi ulio si wa kweli kulingana na jinsi mtazamo wako ulivyo na kwa upande mwingine ni kosa huku upande mwingine si kosa . Kuna sauti nzuri na mwanana zinasikika zikiimba juu ya nyimbo laini na bora kwa watu fulani.Viziwi wamesikia na vipofu wameona juu ya s