uscuta

uscuta

Our Music online

onsdag 19 augusti 2009

Sanaa zionyeshwazo nje ya garari

Kuna maonyesho ya sanaa sehemu mbalimbali hapa Örebro sweden yaitwayo Opening art.
Wasanii kutoka sehemu mabli mbali duniani wameonyesha sanaa zao za ufundi ikiwa ni sanamu , luninga,tovuti pamoja na mcihoro ya ukutani yaani mural.
Kwa kuangalia yaliyomo na hata kutafuta nafasi ya kushiriki kwa mwakani
bonyeza hapa http://www.openart.se/2009/07/01/guidade-turer/

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar