Picha hii inaonyesha wasanii walioshiriki maonyesho ya sanaa za ufundi
yaliyoandaliwa na Lions Örebro kwa ajili ya kuchangia nchi maskini
kupambana na mgonjwa,kama vile ugonjwa wa macho n.k

Comments