uscuta

uscuta

Our Music online

lördag 12 september 2009

chai maharagwe

Kulikuwa na bwana mmoja ambaye anajifanya amebanwa na mda kila rafiki zake wanapotaka kuwasiliana nae:)
Sasa basi ikafikia mda ambao yeye anatakakuwasiliana nao ,wakati wao wako wamebanwa na mda pia ,cha ajabu ni kwamba yeye analaumu kweli kuwa anakaushiwa bila ya kujuwa yeye ndiye alieanza kukausha mwanzoni:)
Kama mtu umebwana na mda unapataje mda wa kuwasiliana?Kingine ni kwamba hata kama ndo umepata mda ,si ujali pia kwamba wenzio watakuwa wamepangilia mipango yao pia na kuwa labda hawana mda wa kuwasiliana na wewe.
Jali marafiki zako ili wakujali pia kabla ujalaumu

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar