Siku muhimu ambapo dunia nzima itasikilizana na kujadili mambo bila ya ugomvi wala vita.
Siku ambayo viumbe kutoka sehemu nyingine hapa ulimwenguni watakuja kututembelea na
kutufanya tuwe pamoja.
Ni siku ambayo watoto wadogo watasikilizwa kwa yale wanayosema na kutekelezwa na watu wazima.
Siku ambayo juwa litaimba na kushangilia juu ya badiliko lililotokea.Mbalamwezi itaangaza kwa kipindi kisichojulikana kwa kusheherekea lilelililotokea.Siku ambayo lugha ya kale itatumika.
Siku ambayo.....

Kommentarer

Populära inlägg