uscuta

uscuta

Our Music online

tisdag 1 januari 2013

Mwaka mpya

Jana ilikuwa siku ya kuukaribisha mwaka kwa nchi zinazofuata mwaka wa kikatholiki.
Nimehamia kwenye jiji la Stockholm.Ilikuwa siku ambayo nilitembea nje kwa umbali mkubwa kuangalia vitu mbalimbali.
Watu wa nchi za Scandinavia huwa wanasheherekea sikukuu za mwaka mpya na Krissmas nchini kwao, hii inaweza kulinganishwa na makabila yanayoenda kuhiji kama Wachaga na wengine zaidi.
Jamii ya huku imekuwa ikitumia hela nyingi kurushia baruti (Fashifashi) kubwa na zenye urembo wa aina yake ikiwa ni kuashiria mwaka umewadia.
Kwa mji wa Stockholm ilikuwa na usafiri wa uhakika kwa masaa ishirini na nne.
Treni za umeme zinafanya kazi ya kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali kuja katikati ya Mji kwa uhakika .
pic by Sweden.se blog
Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström Fireworks on New Year's Eve in Stockholm Sweden - Night Photography by Lola Akinmade Åkerström

Inga kommentarer:

Skicka en kommentar