Ukweli wenyewe

Kabila wa wanubi lilijenga mfumo wa kuweka mitaa kwa mara ya kwanza.Mitaa ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha mwisho na mwanzo wa nyumba ama jamii nyingine.Hii tunaiona kwenye jamii ya Kijapan pia.Wajapan wanaamini wakiweka mpaka au ukuta itakuwa vigumu kuwa na mawasiliano upande wa pili .Pia inakuwa haina ulazimu kwa mtu wa upande wa pili kuwa na mawasiliano na upande wa kwanza.Bali kunaweza kujengwa madirisha ili kuanzisha uhusiano.

Kommentarer

Populära inlägg