Kabla mwanadamu ajagunduwa njia nyepesi ya uchapishaji alitumia njia la kienyeji.Katika uchapishaji wa aina ile mwanadamu aliweza kupata maumbo yenye uzuri wake haswa kwa fani ya mihuri ya shaba nyekundu.
Unaweza kutumia shaba nykundu kutengeneza mihuri ambayo inachukuwa alama mbamlimbali hata kama ni ndogo.Katika mihuri ya shaba nyekundu kunauwezekano wa kutumia aina ya visu vyenye nche kali kwa ajili ya kuweka alama na baadae hizo alama kuja kuchukuwa wino kwa ajili ya kuchapisha.
Kunadawa ya kuoshea hizo alama ili ziwe zinavutia na zenye uwezo wa kuchapisha makaratasi zaidi.
Baada ya kumaliza yote kazi iliyopatikana umaliziwa kwa kukata kwa mkasi kwa ajili ya kupata umbo lenye uzani.

Kommentarer

Populära inlägg