Baada ya  kurekodi nyimbo mpya tumeamuwa kukaa na kusikiliza mziki na tanaamuwa kutengeneza chakula kizuri pamoja na kinywaji laini. Haya ndiyo maisha ya kawaida ya sisi kwenye thamsilia yetu hii tunayofanya.Ukipendezwa na haya unatakiwa kuanza kufanya kama tunavyofanya wakati mwingine wanadamu kama sisi tunaweza kuonekana kama kwamba tunafanya mambo magumu kwa mtazam fulani lakini ndiyo hivyo tunafanikiwa kwa kile tunachoangallia kuona kinafaa kwa mwenendo wa namna hii utafurahii sana mwenye umekuwa mmoja wa sisi ,kuwa kama sisi hakuna hifu ,upendo wako daima utakuwa nasi kwa mwenendo wako wa mambo yako ya kawaida  unayofanya kwa wanaoweza kutambuwa juu ya lile unalopenda na

Kommentarer

Populära inlägg