Nikiwa na marafiki wazuri

Siku ilianza vibaya kwa taarifa mbaya lakini kwa uwezo wa marafiki na wanaweza kukuweka kwenye nafasi ya kawaida ya kujisikia vizuri.
Ni muhimu kujuwa kuwa kwenye mstari wa maisha kuna kupanda na kushuka kwa hisia na Upendo unauma kwa unaowapenda.
Kwa Heri mjomba Nakumbuka nikiwa mdogo ulijuwa utabiri wangu.Ulifanana na Babu yangu.Umeondoka miezi miwili baad ya Bibi yangu .Sina furaha ninauzuni moyoni lakini ninaamini nitakutana nayi.Nipo ugenini ila Moyo wangu ulikuwa nanyi.

Kommentarer

Populära inlägg