Kutoka uwanja wa Friends Arena Stockholm
Baada ya sanaa ni mapumziko pia .Ilikuwa ni siku ya tarehe thelathini na moja niliamuwa kujichanganya kwenye uwanja wa kimataifa wa friends Arena kwa ajili ya kuona mechi moja kwamoja.
Tukishangilia baada ya Zlatani kutupia goli la kwanza dhidi ya Iran huku mpira Ukiisha kwa Swedeni kuongoza kwa mabao matatu kwa moja.
Kommentarer
Skicka en kommentar