uscuta 2000
Angalia baadhi ya vipande vya magazeti ambavyo vinaelezea uscuta tokea kipindi kile mwaka 2000Tumefanya kazi kubwa sana mpaka hapa tulipofikia na ni muhimu Kushukuru Mungu pia ni muhimu kujisifia kwa kazi nzuri tunayofanya.
Tumeweza kufanya maonyesho mbalimbali nje na ndani ya Tanzania kwenye nchi za Danmark ,Ufaransa,Marekani USA nchi za Afrika mashariki n.k
Najuwa kwamba tunatafikia lengo na tutavuka kiwango cha mafanikio tuliyo panga.Tumekuwa na mambo wakadha haswa kwenye swala la Ushirikiano.
Tumeweza kufanya ushirikiano kwenye kazi za mziki na studio mbalimbali nchini Sweden.
Kuna mambo mengi tumejifunza na kwa sasa tumeamuwa tutayafanyia kazi kwa uangalifu.
Tunashukuru kwa kuweza kuwa na sisi mwaka uliopiata .Natumaini tutafanya mabadiliko makubwa na kufanikiwa sana mwaka huu
Comments
Post a Comment