Hii ni sanaa iliyotia fora ktk maonyesho ya sanaa na kutunza mazingira kule nchini Danmark.
Ukiangalia hii sanaa utaona jinsi mazingira na Binaadam yanavyoshabiana kwa mtazamo wa mwanzo kabisa
Ukitaka kujuwa zaidi koment hapo chini ili kuwa activ na msanii kila Ijumaa jioni na Jumamosi
Kommentarer
Skicka en kommentar