Sherehe ya kumkalibisha Balozi Dr Slaa kwenye jiji la Stockholm
Watanzania waishio kwenye nchi za Scandinavia wamejiandaa kumkaribisha balozi wao mpy Dr Slaa .Sherehe hizo zitafanyika tarehe 7 mwezi wa nne kwenye ukumbi wa Årsta folketshus jijini Stockholm.
Kama inavyojulikana ubalozi wa Tanzania Sweden unawakilisha nchi zote za scandnavia ndiyo maana kuna umuhimu wa waTanzania wote kukutana na kuanza mwanzo mpya na balozi mpya.
Sisi wanablog ya sanaaammbando tunawatakia kila la kheri wale wotw wataoshiriki kwenye sherehe hii.
//Joran

Kommentarer
Skicka en kommentar