Train to Kilimanjaro HD Music video

Train to kilimanjaro ni mziki uliofanywa na kikundi cha wasanii Stockholm wakishirikiana na Kennedy ili kuelezea mazuri yanayofanyika nchini Tanzania. Katika nyimbo hii kuna sauti ya msanbii mwandada Juels kutokea ncghini Sweden pia msanii kutokea nchINI CONGO PAMOJA NA PRODUCER Hotlips kutokea Tanzania . Maudhui ya nyimbo hii ni mazingira ya kijana mwafrika kwenye mwenendo wake wa kuweza kujiamini na kuamini ndoto yake ambayo ndiyo afrika ya kesho. Kumekuwa na sitonfahamu kwa baadhi ya waafrika ambao wanadhani wenzao wanaojaribu kuunga mkono juhudi na maendeleo yanayofanyika ktk nchi za kiafrika mfano Tanzania ni ndoto tu.

Kommentarer

Populära inlägg