Nimekuwa nikiwasilisha kazi zangu kwa kupitia njia mbalimbali kwa ukamilifu.Hii ni zaidi ya sanaa ya usasa.


Kumekuwa na wasanii wanaohitaji kujifunza ili waweze kuwasilisha sanaa ya kwa hata njia moja kwa ukamilifu na imekuwa vigumu.

Njia nzuri ya wao kufanikiwa na kukubali kazi za wale wlioweza na kujifunza ni kivipi wanaweza kufanya.

Kazi kubwa ya msanii imekuwa ni kupeleka ujumbe pamoja na dhamira.

Kommentarer

Populära inlägg