ASASI YA JUMUIA ÖREBRO SWEDEN

Jumuia ni asasi iliyosajiliwa ktk nchi ya Sweden .
Jumuia inasaidia kujenga uhusiano kati ya jamii ya huku na Tanzania.
Mwaka 2019 kumekuwa na mipango miingi na mizuri kwa ajili ya kusaidia vipaji vya vijana chipukizi ambao watapata nafasi ya kurekodi nyimbo za asili ya Tanzania kwenye mfumo wa kisasa zaidi.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi www.kennedym.com
Asante

Kommentarer

Populära inlägg