“Debe” by Reime Schemes x Gnako x OG Rome
Katika kuhakikisha tunajenga mahusiano mazuri kati ya wanamziki wa USA na Tanzania tumeweza kupata kazi mbalimbali za msanii Reime Schemes kutka USA ambaye alitua bongo kufanya kazi mbalimbali na wasanii wa bongo kama vile Star wa bongoflava GNAKO na wengineo.
Nawakaribisgha kuweza kusikiliza kibao cha DEBE ili kuweza kutoa maoni yako juu ya muunganikop huu na ni nini kifanyike ili tuweze kufika mbali zaidi .
Kommentarer
Skicka en kommentar