Ukweli wenyewe.

Kuna mwonekano wa vitu mablimbali na mambo mablimbali katika mitazamo mbalimmbali.
Mwonekano wa sasa wa dunia si mwonekano wa zamani wa Dunia.
Ongezeko la watu limekuwa kubwa kwa namna fulani ,lakini hatuna uhakika kwamba hapo zamani kulikuwa na watu wachache kwani Dunia iliyokuwa ikihesabiwa ni dunia ya mahala pamoja bila ya kujali sehemu nyingine.
Wanadamu wamekuwa katika makundi kila siku na kujitahidi kutengeneza makundi haswa kwa lengo la kujilinda.

Hapo zamani mwanadamu alikuwa najilinda kwa kujenga Ngome ila kwa sasa wamejilinda kwa kujenga mifumo ya code za aina mbalimbali.
Dunia imekuwa kama kijiji ,watu waliokuwa na milengo inayofanana wanaweza kuwasiliana hata kutembeleana na kubadili mawazo.
Code inafanya kazi kwa kipindi chake cha mwisho ,kwani code ilijengwa kwa mlengo wa kuwatawala watu fulani na sasa imefikia kikomo ,kwani code haina mda mrefu wa kuishi kama ilivyopangwa.
Code ilijengwa kwa msingi wa kuweka vikundi fulani viwe vina tawala kwa mafanikio binafsi.

itaendelea........

Kommentarer

Populära inlägg